AUDITION ALERT FOR KEN WALIBORA'S "SIKU NJEMA" 13TH OCTOBER.

Auditions
Administrator
Site Admin
Posts: 387
Joined: Mon Sep 05, 2011 7:53 pm

AUDITION ALERT FOR KEN WALIBORA'S "SIKU NJEMA" 13TH OCTOBER.

Postby Administrator » Sun Oct 12, 2014 4:48 pm

Wengi watakumbuka hadithi ya Kongowea Mswahaili kwa kitabu cha Fasihi kiitwacho "Siku Njema". BlaqGold productions na Imotions Ltd,wako katika pilka pilka ya kukigeuza kitabu hicho kiwe sinema ya tv.

Wanatafuta waigizaji wafwatao na maelezo kama vile yafwatavyo:

Production title: SIKU NJEMA

Production Company: BLAQGOLD PRODUCTION & IMOTIONS LTD

Producer: Mak’owade Gabriel

Director: Mak’owade Gabriel

Casting Director: Yusuf Dalu

Contacts for casting director:0721776919, 0714066502

Project Type: Series pilot

Production Type: Independent

Production location: Malindi Kenya

Audition date: Monday, October 13th, 2014

Audition Time: 2pm to 5pm

Audition location: Kwacha Africa Kisauni, Mombasa.

Shooting Starts: 17th October, 2014

Shooting Ends: 19th October , 2014

THE CHARACTER BIBLE “ SIKU NJEMA”

- SULEMANI MAPUNDA: Umri kati ya miaka 18-20, Mwenye umbo la kutishia/ katili, Kitonzi, Mwenye usumbufu, Roho ngumu, Mkosa heshima, Mwenye hasira nyingi,Hana woga, Hachagui la kusema

- MSANIFU KOMBO “KONGOWEA MSWAHILI” : Umri kati ya miaka 13-16, Mwerevu / mwenye busara, Mwenye hekima, Mkakamavu, Mwenye tahadhari, Jasiri si muoga, Mchoraji, Msomaji na mtunzi mashairi, Mchafu wa mwili, Mlevi wa bangi na vileo vyengine

-KITWANA: Umri kati ya miaka 35-40, Mwenye busara, Alikaliwa na mke wake, Mwenye maisha ya wastani, Mwenye huruma nyingi, Mcheshi, Mwenye kupenda mazungumzo, Ana watoto watatu – Rehema, Daniel na Butambo, Mwenye kuweka ahadi,

- MWANA SAUMU: Umri kati ya 25- 35, Mchukivu, Hupendelea watu wake, Msiri,Mkakamavu, Roho chafu, Mdanganyifu, Katili

- ENOCK MINJA: Umri kati ya miaka 17-19, Msiri, Mwenye hila,

- DANIEL KITWANA: Umri kati ya 13-16, Mwenye hila, Mkosa makini shuleni

- MUTAMBO KITWANA: Umri kati ya 12- 15, Mwenye hila, Mkosa makini shuleni

- REHEMA KITWANA: Umri kati ya 11-14, Mwenye hila, Mkosa makini shuleni

- VUMILIA BINTI DIWANI: Umri kati ya 12-16, Mkarimu, Mwenye huruma, Mwerevu na stadi shuleni, Mwenye kujali maslahi ya wengine, Mtumishi, Mwenye kufuata moyo wake utakavyo, Alimpenda sana Kongowea

- BI RAHMA: Umri kati ya 30-35, Mwenye kuweka siri, Asiye na uaminifu, Mwenye huruma

- ZAINABU MAKAME: Umri kati ya 27-30, Mwenye talanta ya uimbaji, Mtunzi wa mashairi, Mwenye busara, Mwenye usiri mkubwa, Mwenye imani kubwa sana asiyevunjika moyo, Msomi

- AMINA: Umri kati ya 18-20, Mcheshi, Mpelelezi, Aliyeingilia anasa kujikimu kimaisha, Mwenye kumbukumbu nzuri, Mwenye huruma, Mkarimu, Msiri

- HEADMASTER: Umri kati ya 35-40, Mkakamavu, Mchukivu

- MTOZA TIKETI: Umri kati ya 23-25, Mfupi wa kimo, Mchukivu Mfisadi

- RASHID OMARI: Kijana mtanashati umri wa makamu umri miaka 25, Mcheshi, Mzungumzaji, Mwenye busara, Mkarimu, Si mpenda starehe

- ZAWADI: Umri miaka 23, Mrembo wa sura na umbo, Mchumba wa Rashid omar, Mwalimu wa shule, Mkakamavu,

- BIBI: Umri 25-30

- SALIM KITWANA – MPENDA RAHA: Mwenye kupenda raha, Mwenye imani, Mlevi

- JUMA MKOSI – KAZI KWISHA: Mzee umri wa maika 45-50, Kajiweka hali duni, Msiri, mkwasi

- SHAIBU: Mkakamavu

- ABDUL MAHMUD: Mwajiri wa Kongowea Mswahili, Mkarimu, Mpenda haki

- JOEL PAPA: Seremala

- MABRUK na CHARO ZIRO: Waliompeleka Kongowea kutengeza la Rashid Omar, Mabruk alikuwa mrefu na mwenye mabega yaliyochomoza, Charo alikuwa mrefu na mwenye misuli iliyojengeka

-JEREMIAH KIPRUTO: Hamali, Mfanyikazi za sulubu,

- DR.CHRIS KHISA: Mrefu wa kimo, Aliyevaa miwani usoni mwake, Alikuwa na sharafa na masharubu

- EMANUEL MAPINGA:Mwenye nyumba akiyokodi Kongowea,

- BAKARI SALIM: Umri wa makamu, Binamu ya Kongowea, Mwenye kuchukuwa kodi ya Rashid Omar kabla ya kifo chake na mwisho kawa landlord wa Amina na Zawadi, Mwizi, Mpenda maisha ya raha na kudekezwa, Hana shaka kwa aambiwalo

- MZEE OTIENO: Mpangaji mwenzake Kongowea,

- MAMA ALICE – Bi. Mercy Mcdonald, Mkali, Mwenye huruma, Mkwasi

- ALICE: Binti, Mkosa huruma, Mwenye hamaki za karibu

- JOHN AMON: Kijana

Return to “Auditions and Events”

Who is online

Users browsing this forum: No registered users and 2 guests